Michezo

Mtoko wa Cristiano Ronaldo na familia yake

Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametupia picha inayomuonyesha akifurahia maisha akiwa na mpenzi wake na watoto wake mapacha hao jana siku ya Jumatano hii inakuja baada ya kuisaidia timu hiyo kuchomoza na ushindi dhidi ya Valencia siku ya Jumamosi.

Ronaldo ametupia picha hiyo akiwa na  mpenzi wake Georgina Rodriguez kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram huku mmoja kati ya watoto wake akionekana kulia kufuatia kushindwa kuwa na mazoea na hali hiyo.

Rodriguez ameonekana akimbeba Mateo ambaye anaonekana kutokuwa na uzoefu wa kucheza kwenye maji swala ambalo huwatokezea watoto wengi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents