Habari

Mtoto wa Agness Masogange kusomeshwa hadi Chuo Kikuu bure (+video)

Mmiliki wa shule ya St. Patrick ya Jijini Dar es salaam, Ndele Mwaselela amejitolea kumsomesha mtoto wa marehemu Agness Masogange hadi Chuo Kikuu endapo atafanikiwa kufaulu kwenye masomo yake.

Mtoto wa Masogange kwa sasa anasoma darasa la saba na ana miaka 11 hii ni kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa jana Aprili 23, 2018 na Kamati ya Maandalizi ya Mazishi iliyoandaliwa na Bongo Movie.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents