Habari

Mtoto wa kike wa R.Kelly ajitangaza kubadili jinsia na kuwa mvulana (transgender)

Mtoto wa kike wa mfalme wa R&B Robert Kelly aka R.Kelly mwenye miaka 14 amejitokeza hadharani na kujitangaza kuwa amebadilisha jinsia na kuwa mvulana.

jaya

Mtoto huyo aitwaye Jaya amejitangaza habari hiyo kwa dunia kupitia mitandao ya jikamii.

Jaya aliyezaliwa na jinsia ya kike amesema hivi sasa ni mvulana na jina lake jipya ni Jay.

Jay amesema kuwa pamoja na mama yake mzazi aitwaye Andrea Kelly kumsupport kwa uamuzi aliouchukua, baba yake R.Kelly bado bado hajasema ch ochote.

My mom was like, ‘Baby, you know I love you if you were bi, gay, lesbian, you name it and I would still love you so much’,” aliandika Jay katika profile yake ya Ask.fm. “I believe I am a boy and want surgery, and the medication to help me (be) who I was supposed to be.”

Jay amesema alijigundua kuanza kuvutiwa na wasichana akiwa na miaka 6, lakini ameongeza kuwa bado hahitaji kuwa na uhusiano wa kimapenzi kwa sasa.


Source: Mirror

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents