DStv Inogilee!

Mtoto wa Patrick Kluivert kujiunga na AS Roma

Mshambuliaji wa klabu ya Ajax, Justin Kluivert amewasili Roma kwaajili ya vipimo vya afya tayari kujiunga na timu ya AS Roma inayoshiriki ligi ya Serie A.

Kluivert mwenye umri wa miaka 19, ni mtoto wa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania Patrick Kuluivert ambaye mpaka sasa kijana huyo amefunga jumla ya mabao 10 kwenye michezo 30 aliyocheza msimu uliyopita huku akishinda taji lake la kwanza kwa timu ya taifa ya vijana ya nchi hiyo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW