Habari

Mtoto wa Whitney Houston akubali uhusiano wa mapenzi na Kaka Yake!


Mtoto wa Marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina,amejikuta kwenye mvutano na bibi yake, Cissy Houston baada ya kusadikika kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi baina yake Bobbi Kristina na kijana aliyelelewa na Whitney Houston kwa zaidi ya miaka kumi,

Wawili hao, ambao wameanza uhusiano huo punde tu Whitney alivyofariki, wamewasahngaza wengi wakiwemo wanafamilia wao, hadi kupelekea mama yake Whutney Houston kutoa tamko la kutokubaliana na uhusiano huo kwani wawili hao ni kama ndugu.

Bobbi Kristina amekerwa na kauli za wanafamilia hususan bibi yake, amabapo amesema Nick sio kaka yake ingawa alilelewa na mama yake mzazi kwa kipindi kirefu na kupelekea kukuzwa kwenye nyumba moja.

Mdau unaonaje hii ishu?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents