Mtoto wake MB Dogg afariki
Usiku wa kuamkia leo mtoto wa kike wa MB Dogg amefariki dunia, mtoto
huyu alikuwa anaitwa Suhaila Mohamed na alikuwa na umri wa miaka
7…atazikwa leo saa 6 mchana.
Msiba upo kwake MB Dogg maeneo ya Ubungo Riverside, Suhaila alikuwa mtoto wake wa kwanza na amemwacha mdogo wake.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amin.