Soka saa 24!

Mtukudzi aikuna roho ya Jide

Jay_dee_Mtukuzi_face
MWANAMUZIKI Lady Jay dee hivi sasa furaha yake karibia inafika kinani baada ya kukamilisha baadhi ya ndoto zake kwa kuimba na wasanii wa kongwe wa ndani na nje ya nchi, ili kujipatia uzoefu na kujitanua katika medani za muziki wa kimataifa.

 


Akiongea meneja na mume wa mwanamuziki huyo, alisema Jide siku nyingi alikuwa na ndoto za kupanda jukwaa moja na wasanii wa kongwe na ndiyo maana alianza na wa hapa nyumbani kama Msondo na Sikinde.

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW