MTV Africa Allstars kuja Tanzania?

Timu ya MTV Base itadondoka jijini Nairobi, Kenya Ijumaa hii ya April 5 kwenye ziara ya MTV Allstars.Wasanii wa Kenya watakaoperform ni pamoja na STL, Camp Mulla, P-Unit. Kanja na Madtraxx watakaoungana na DJ Tira na Big Nuz kutoka Afrika Kusini.

mtv

Lengo la MTV Africa All Stars ni kampeni ya muziki kwa vijana ambayo lengo lake ni kuwapa nafasi wasanii wa Afrika.

MTV Africa All Stars: Alex Okosi from MTV Base Africa on Vimeo.

“Through engaging live events, television specials and digital activations, MTV Africa All Stars offers a range of diverse platforms through which music fans can connect with and experience the extraordinary talent, variety and craftsmanship of the continent’s most exciting contemporary musicians,” alisema makamu mkuu wa rais na mkurugenzi wa MTV Base, Alex Okosi.

Swali ni Je! itakuja Tanzania?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents