Burudani

MTV Base haina cha connection wala ujanja ujanja – Joh Makini

Video mpya ya Joh Makini ya wimbo wake ‘Nusu Nusu’ haikuoneshwa kwa mara ya kwanza MTV Base kwa bahati!

John Simon Mseke aka Joh Makini amedai kuwa hadi video yako ipigwe katika kituo cha runinga cha MTV Base hakuna masuala ya ujanja ujanja wala connection!

Akiongea na kituo cha redio cha Kings FM cha Njombe, Joh Makini alisema:

Watu wengi wanatuma video MTV. MTV watu wana email zao unaingia unatuma video wakiitazama wanakuemail back kama wataweza kuicheza au ‘hatuwezi kuicheza’. Nilituma video wakanipa exclusive wakaicheza na inaendelea kuchezwa.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents