Videos

MTV Base na Hunters watua Zanzibar, Donald, AKA na Radio & Weasel kukamua Ijumaa hii

Wasanii wakubwa wa nchini Afrika Kusini, Donald Moatshe na AKA, pamoja na Radio and Weasel wa Uganda wanatarajia kupiga show ya uhakika kwenye tour ya kinywaji cha Hunters cha Afrika Kusini visiwani Zanzibar Ijumaa hii.

Akiizungumzia Hunters Oasis Tour, mtangazaji wa MTV Base, Vanessa Mdee ameiambia Bongo5, “Hunters ambayo ni kinywaji cha South Afrika kilitoa ofa kwa watu ambao wanakunywa hiyo pombe yao. Waliwapa washindi trip ya kuja Zanzibar, MTV is their media sponsor. So it’s a week long party on the beach, kuna Dj’s, kuna performances, kuna artists wote wanakuja hapo. Wasanii ambao wanaperform kesho ni Radio and Weasel, and then Friday ndio the big party yupo AKA, Donald pia and then yupo Radio na Weasel.”

Kuhusu kutokuhusishwa wasanii wa Tanzania Vanessa amesema:

The thing is ni event ya Hunters, sio event ya wabongo wala sio event ya MTV. Hunters imewapa hiyo nafasi washindi wao, the only thing ni kwamba inafanyika Zanzibar lakini ni event ya South Afrika.

http://www.youtube.com/watch?v=MHiD9X-_UiA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents