MTV VMA 2012: Surprises kibao, Rihanna na Chris wakiss jukwaani!!

Tuzo za MTV Video Music 2012 zilikuwa na surprises za kutosha!! Kuanzia ujauzito wa Amber Rose mpaka kwenye busu alilolitoa Rihanna kwa mpenzi wake wa zamani Chris Brown.

Rihanna alitembea hadi alipokuwa amekaa Chris Brown na kumpiga busu.

Kwenye picha hiyo iliyokuwa uploaded kwenye mtandao wa Instagram inaonekana kama Rihanna anakimpiga busu Chris Brown.
Kutokana na mahojiano ya hivi karibuni ya Oprah, Rihanna alisema bado anampenda Chris Brown na sasa kwa picha hiyo huenda wapenzi hawa wakarudiana tena.

Katika tuzo hizo Chris Brown, Drake na Rihanna wote walipata tuzo.
Hii ndio orodha ya washindi wa tuzo hizo zilizotolewa usiku wa kuamkia leo nchini Marekani.

BEST POP VIDEO
One Direction – “What Makes You Beautiful”

BEST MALE VIDEO
Chris Brown – “Turn Up The Music”

BEST ROCK VIDEO
Coldplay – “Paradise”

BEST HIP-HOP VIDEO
Drake f/ Lil Wayne – “HYFR”

BEST FEMALE VIDEO
Nicki Minaj – “Starships”

BEST NEW ARTIST
One Direction -“What Makes You Beautiful”

VIDEO OF THE YEAR
Rihanna f/ Calvin Harris – “We Found Love”

BEST VIDEO WITH A MESSAGE
Demi Lovato -“Skyscraper”

BEST ELECTRONIC DANCE MUSIC VIDEO
Calvin Harris – “Feel So Close”

MOST SHARE-WORTHY VIDEO
One Direction – “What Makes You Beautiful”

BEST ART DIRECTION
Katy Perry – “Wide Awake”

BEST CHOREOGRAPHY
Chris Brown – “Turn Up The Music”

BEST CINEMATOGRAPHY
M.I.A. – “Bad Girls”

BEST EDITING
Beyonce – “Countdown”

BEST DIRECTION
M.I.A. – “Bad Girls”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents