Habari

Muammar Gaddafi auwa

Gadafi_face

Kiongozi wa zamani   nchini Libra Muammar Gaddafi ametangwazwa rasmi kuuwa leo asubuhi katika mashambulio yaliyofanywa na waasi katika mji wa  Sirte.



Waziri wa Habari Mahmoud Shammam, amesema kwamba wapiganaji waliona mwili wa kamanda huyo ukiwa pamoja na maofisa wengine.

Hii baada ya kutangazwa kwamba uhuru wa nchi hiyo hauwezi kuwa sawa wala kukamilika, bila ya kiongozi huyo kupatikana akiwa hai au amekufa, ili kwenda kujibu mashitaka kwenye mahakama ya Kimataifa.

Gadafi_Dead

Mwili wa Maumar Gadafi uliopatikana

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents