BurudaniVideos

Mugogo kuja na video yake ya kwanza [Video]

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=JKuZm4bkAiI[/youtube]

Msanii mpya kutoka kundi la Mkubwa na Wanawe chini ya mkubwa Fella, naye amekuja na video ya wimbo wake wa kwanza unaokwenda kwa jina la Jicho Chongo, chini ya Producer wa studio  Mr India Suresh. Hiki ni kipaji kipya ni baada ya Dogo Aslay kuibuka kwenye kundi hilo..

Mugogo

mugogo_gitaa

mugogo_Suresh

Suresh na Mugogo wakiwa kwenye studio ya Poteza Record

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents