Muziki

Eddie Murphy atoa wimbo wa reggae aliomshirikisha Snoop Lion ‘Red Light’ (Audio)

Star wa filamu maarufu ya ‘Coming To America’, Eddie Murphy amekigeukia kipaji chake kingine cha kuimba kwa kutoa wimbo wake mpya ‘Red Light’ alioshirikiana na Snoop Lion.

Eddie murphy

Kama ulikuwa hufahamu licha ya kupata umaarufu zaidi kupitia uigizaji, Eddie Murphy alikitambulisha kipaji chake cha kuimba miaka ya 1980 kwa kushiriki katika nyimbo za wasanii wengine kama msanii wa kuitikia na baadaye kuweza kutoa single zake “Party All the Time” na “Put Your Mouth on Me”.

Kwa sasa Eddie Murphy anaandaa album yake mpya, na video ya ‘Red Light’ inatarajiwa kutoka rasmi Jumatatu (September 9).

Filamu ya mwisho ya Eddie Murphy ni “A Thousand Words.” Aliyoitoa mwaka jana (2012)

Sikiliza wimbo huo mpya hapa

[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/107859217″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents