Muigizaji mkongwe wa Nigeria, Enebeli Elebuwa afariki dunia

Muigizaji mkongwe wa Nollywood, Enebeli Elebuwa, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65.

Enebeli alifariki mapema jana katika hospitali iliyopo New Delhi nchini India.

Muigizaji huyo aliyekuwa akisumbuliwa na kiharusi kwa zaidi ya mwaka mmoja alimake headline kwa kudaiwa kutibiwa ugonjwa huo na Pastor Sign Fireman wa kanisa la Perfect Christianity Ministry, Surulere.

Mchungaji huyo alidai kumtibu Elebuwa na kuweka video ya muigizaji huyo kwenye YouTube akitembea.

http://www.youtube.com/watch?v=znVIeolDNIQ

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents