Tia Kitu. Pata Vituuz!

Muigizaji wa Uingereza Idris Elba alivyotangaza kuwa na Virus vya Corona mbele ya mke wake – Video

Muigizaji wa Uingereza Idris Elba alivyotangaza kuwa na Virus vya Corona mbele ya mke wake - Video

Muigizaji maarufu raia wa Uingereza alivyotoa taarifa za kuthibitisha kuwa na Virusi vya Corona.

Idris Elba ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter alitoa taarifa huku akiwa na mke wake na kusema kuwa “Asubuhi ya leo nimepima na kukutwa na maambukizi ya COVID-19,

Ninajisikia vizuri, sina dalili hadi sasa lakini nimetengwa tangu nilipogundua kuwa nimepata hivi virusi, Kaeni majumbani na mliangalie hili swala kwa umakini, Nitawapa taarifa ya ninavyoendelea, Hakuna Hofu”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW