Muna aondoka na nyaraka za ‘Patrick’ Airport, mwili wazuiliwa kutoka, mdogo wa baba mzazi afunguka (+video)

Mama mzazi wa mtoto Patrick, Muna Love mapema baada ya kuwasili jijini Dar es salaam akitokea Nairobi nchini Kenya akiwa na mwili wa mtoto wake amejikuta akiondoka na nyaraka (Documents) muhimu za kutolea mwili wa mtoto wake kutoka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. J. Nyerere .

Akizungumzia sakata hilo mdogo wa baba mzazi wa Peter, amesema kuwa Muna alijisahau kutoa nyaraka hizo kwenye pochi kutokana na hali aliyokuwa nayo kwa sasa na tayari wanafanya jitihada za kupata nyaraka hizo ili kukamilisha zoezi la kuutoa mwili mtoto Peter katika uwanja wa ndege.

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW