Burudani

Muna Love azindua Foundation kumuenzi mtoto wake Patrick (+video)

Muigizaji Muna Love amezindua taasisi ya ‘The Patrick Foundation’ yenye lengo la kusaidia watoto wenye matatizo mbalimbali hapa Tanzania.

Akiongea kwenye uzinduzi huo, Muna amesema amesukumwa zaidi kuwasaidia watoto na wazo hilo amelipata baada ya kifo cha mtoto wake mpendwa Patrick, ambaye jina lake ndilo lililotumika kwenye taasisi hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents