Habari

Muonekano wa Grenfell Tower baada ya kuungua (Picha/Video)

By  | 

Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu jengo la ghorofa 24 kuungua na moto na kusababisha vifo vya watu 79 na wengine kuwa majeruhi hivi ndivyo jengo hilo linavyoonekana kwa sasa.

Taarifa za kuungua kwa jengo la Grenfell Tower lililopo Kaskazini mwa Kensington nchini Uingereza zilianza kusambaa muda wa saa tisa kasoro dakika tisa kwa saa za Afrika Mashariki (Usiku), kuwa limeshika moto. Bado uchunguzi wa ajali hiyo unafanyika kubaini chanzo chake.Baada ya kutokea tukio hilo baadhi ya watu maarufu waliweza kufika katika eneo hilo kuwa fariji wahanga wa tukio akiwemo, Malkia Ekizabeth wa II, Adele, Prince Willam, Rita Ora na wengine.


Hawa ni watu waliopotea hawajulikani walipo mpaka sasa.

Hili ni moja ya tukio kubwa kutokea nchi humo tangu Waziri Mkuu Theresea May aingie madarakani.

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments