Michezo

Murray akutana na Tennys Sandgren US Open 2017

Mchezaji tenisi raia wa Uingereza, Andy Murray anatarajia kucheza na Tennys Sandgren katika mzunguko wa kwanza wa michuano ya US Open.


Bingwa huyo mara tatu wa Grand Slam,Murray alishindwa kuirudisha nafasi yake ya kwanza katika viwango vya ubora duniani mapema mwanzo mwa wiki hii lakini pia akishindwa kuingia viwanjani tangu alivyofanya hivyo kwa mara ya mwisho katika michuano ya Wimbledon alipo cheza na Sam Querrey hatua ya nusu fainali na kupata majeraha.

Suluhu dhidi ya mmarekani, Sandgren ambaye yupo katika nafasi ya 104 duniani itatosha kumfanya Murray kuingia katika mzunguko wa pili wa michuano hiyo na kukutana na mchezaji Rogerio Dutra Silva au Florian Mayer.

By Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents