MUSIC AUDIO: Ben Pol aachia kolabo yake mpya na ya kwanza kufanya na Harmonize ‘Why’

Msanii wa muziki wa RnB hapa Tanzania, Ben Pol ameachia audio yake mpya aliyomshirikisha Harmonize kutoka WCB, mzigo unaitwa ‘WHY’ na producer wa mdundo huo ni Sheddy Clever.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW