Muziki
MUSIC AUDIO: Dully Sykes ameachia kolabo yake na Harmonize inaitwa ‘Kadamshi’
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dully Sykes ameachia kolabo yake ya pili kufanya na Harmonize kutoka WCB. Ngoma inaitwa Kadamshi na imetengenezwa na Producer Bonga kutoka Beta Studio. Enjoy!
Hii chuma ni shidaaa mzee
🔥🔥🔥🔥
Wcb
Anatafuta pa kufia huyo
Ngoma ngete
Mmaa mmaa
Wcb for life