Kutoka WCB, Rich Mavoko anakualika kusikiliza wimbo wake mpya 'Happy' aliyegonga mdundo wa ngoma hii ni S2Kizzy. Usikilize hapa chini kisha acha maoni yako. https://youtu.be/41C2EFp8WcU
Waooooo!! Du! Tumekumx xn mzee baba , a,k,a messi wa bongo flava
Jamaa naskia kajitoa wcboo
YUDA HUYO
bado yupo
kama Anasepa asepe tu atubembelez jitu #WCB4LIFE
Nice song mavoko
YUDA HUYO WCB TUNAMKATAA NA SISI MASHABIKI
Huyu jamaa namwelewa sana.
Hahha
Alisaini Mkataba wa Miaka Mitatu. Umeisha Hawajamsainisha tena Kutokana na Makubaliano Yaliyoshindwa Kuafikiana.
Sio mitatu ni mmoja
mkataba umeisha mpaka waliafki tena
😀😀😀 amewaacha doro
you change nw you hv nw pasonality
Kazi zuri Rich tunasubilia kideo ili wakujue wewe ni mkali watapata tabusana
Yuda kivipi ,kwani alianzia mziki wcb ?
mavoco ndo messi wa bongo fleva wcb mnampotezea muda tu
wanyoosheeee richad
Mavoko ndomana ukambiwa mvumilivu ula mbivu ww baada yakuvumilia umekwenda uko kwenye vidole juu ayabana pesa inatafutwa
Anajuwa na mkubali