Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Music: Best Life Music – Hello

Kundi la muziki kutoka Burundi, Best Life Music linaloundwa na wasanii wanne, wameachia wimbo wao mpya ‘Hello’ ambao unapatikana katika albamu yao ya Addicted. Wimbo huo umetayarishwa na Kolly da Magic chini ya kampuni ya Kora Entertainment.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW