Muziki
Music: Lameck Ditto – Atabadilika
Msanii wa muziki wa bongo fleva, Lameck Ditto ambaye alifanya vizuri na wimbo ‘Moyo Sukuma Damu’ ametuletea huu wimbo mpya unaitwa ‘Atabadilika’, Producer Tuddy Thomasi. sikiliza hapa alafu toa komenti yako.