Muziki

Music: Nicki Minaj, Lil Wayne na Drake waachia nyimbo zao za pamoja

Hatimaye baada ya kimya cha miaka kadhaa Nicki Minaj, Lil Wayne na Drake wameachia nyimbo zao za pamoja.

Nyimbo hizo ni ‘No Frauds’ ambao wameshirikiana pamoja na ‘Changed It’ ambao ameimba Nicki Na Wayne. Sikiliza nyimbo hizo hapa chini.

No Frauds – Nicki Minaj, Lil Wayne na Drake

Chanded It – Nicki Minaj na Lil Wayne

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents