Burudani
MUSIC VIDEO: Almandrah – Chipolopolo
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Almandra anakukaribisha utazame video ya wimbo wake mpya wa ‘CHIPOLOPOLO’, Video ya wimbo huu imeongozwa na Director Khalfan Khalmandro na asilimia kubwa locations zimechukuliwa Dar Es Salaam. Tazama kichupa hicho hapa chini kisha acha maoni yako;