MUSIC VIDEO: Almandrah – Chipolopolo

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Almandra anakukaribisha utazame video ya wimbo wake mpya wa ‘CHIPOLOPOLO’, Video ya wimbo huu imeongozwa na Director Khalfan Khalmandro na asilimia kubwa locations zimechukuliwa Dar Es Salaam.

Tazama kichupa hicho hapa chini kisha acha maoni yako;

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW