Videos
Music Video: Brian Simba (Mdee Music) ft ID – Stimu
Msanii kutoka Mdee Music, Brian Simba ameachia video yake ya wimbo wa Stimu akiwa amemshirikisha ID. Hii inakuwa ni video ya wimbo wa kwanza tangu ajiunge na Mdee Music.
Video ya wimbo huu imeongozwa na Hanscana. ENJOY