Habari
MUSIC VIDEO: Fid Q ft Rosa Ree – Ole Chizza
Ikiwa leo Agosti 13, 2018 Fid Q anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, rapper huyo amekuletea video mpya ya ngoma yake ya ‘Ole Chizza’ akiwa amemshirikisha Rosa Ree. Tazama zawadi hiyo ya kichupa hapa chini