Videos
MUSIC VIDEO: Jay 93 – Tumewaka
Rapper Jay 93 ameleta mkwaju mpya, ambao anataka na wewe shabiki yake uusikilize kwa mara ya kwanza.
Ngoma inaitwa TUMEWAKA, mdundo umegongwa na Producer GANO katika Studio za ONE HUNDRED kichupa kimeongozwa na MON GENIUZ, Enjoy