Videos
MUSIC VIDEO: Milyo Ngwea – Umenipa Mwana
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Milyo Ngwea anakukaribisha utazame video ya wimbo wake mpya wa ‘Umenipa Mwana’. Mdundo umegongwa na Mr T Touch na kichupa kimeongozwa na Director Jay. Enjoy