Soka saa 24!

MUSIC VIDEO: Morgan Heritage waachia video ya kolabo yao na Diamond Platnumz ‘Africa’

Kundi maarufu la muziki nchini Jamaica, Morgan Heritage limeachia kolabo yao waliyofanya na Diamond Platnumz kutoka Tanzania na StoneBwoy kutoka Ghana.

Hii ni kolabo ya pili kwa kundi hilo kufanya na Diamond Platnumz, video imefanyika katika nchi mbili Ghana na Jamaica, na imeongozwa na Jordan Hoechlin. Enjoy

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW