Tupo Nawe

MUSIC VIDEO: Nandy amtungia wimbo Rais Magufuli ‘Ni raha tupu kuwa naye’

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nandy ameachia wimbo wa kumpongeza Rais Magufuli kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya miaka minne tangu aingie madarakani.

Wimbo huo aliouita ‘Magufuli Tena’ , Nandy ameelezea namna miradi mikubwa ikiwemo SGR inavyoenda kasi na namna anavyokabiliana na ufisadi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW