MUSIC VIDEO: Nay wa Mitego aachia ngoma mpya ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ awataja tena BASATA

Rapa Ney wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ ambapo kwenye mashairi ya wimbo huo kafunguka mambo kibao ikiwemo Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).

Kwenye moja ya mashairi ya wimbo huo, Nay amesema “Huu ndio mwaka wenye utata unatoa ngoma ina-hit halafu inasifiwa na BASATA”.

Hii sio mara ya kwanza kwa Nay wa Mitego kuwataja BASATA kwenye nyimbo zake kwani alishawahi kulitaja baraza hilo kwenye nyimbo zake za nyuma.

Related Articles

16 Comments

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW