Msanii kutoka nchini Kenya Shaggie Bee ameachia video ya nyimbo yake ya ” Wangu ” aliyemshirikish msanii mwenzake kutoka Kenya Kristoff,nyimbo hiyo inaeleza jinsi anavyomsifia mwanamke anayempenda.
Shaggie Bee ameachia video ya Wangu ikitengenezwa na Director X – Antonio huku Producer wa nyimbo hiyo akiwa ni Motif on the beat.
By Ally Juma.