Videos
MUSIC VIDEO: Tanta – Kioo
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Tanta ameachia video ya wimbo wake mpya wa Kioo, project ambayo amefanya na Director Vipper. Video ya wimbo huu imefanyiwa hapa hapa Tanzania.
ENJOY!
https://youtu.be/12edc83BFFI