Msanii wa muziki wa kizazi kipya Yumaicy ameachia video ya nyimbo yake mpya aliwashirikisha Mabantu nyimbo ikienda kwa jina la “Niue”.
Nyimbo hii imetengenezwa na Producer Banny huku Video ya nyimbo hiyo ikitengenezwa na Director Mullaflex.
By Ally Juma.