Muziki

Music: Wizkid azidi kuonyesha yeye ni namba 1 Afrika

Wizkid anazidi kutengeneza ukuta mkubwa ambapo inazidi kuwa ngumu kwa wasanii wengene wa Afrika kuweza kuuvuka kiurahisi na kumfikia.

Baada ya muimbaji huyo wa Nigeria kufanya ngoma na mastaa wakubwa duniani kama Chris Brown, Ty Dolla $ign, na Drake, sasa hivi ameamua kuja na ngoma mpya “Naughty Ride” aliyowashirikisha kundi a muziki la Major Lazer kutoka Marekani.

Msanii huyo baada ya kuachia wimbo huo, kupitia mtandao wake wa Twitter ameandika, “Just here to spread good vibes!! Positive energy everyday ! ??.” Sikiliza wimbo huo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents