Muziki
Music: Wizkid f/ Chris Brown – African Bad Gyal
Hakuna msanii wa kumkamata Wizkid kwa sasa Afrika kutokana na level aliyofikia. Muimbaji huyo wa Nigeria ameachia wimbo mwingine aliomshiikisha Chris Brown ‘African Bad Gyal’, huu ni wimbo wa tatu kwa wasanii hawa kufanya pamoja.