Diamond Platnumz

Mustapha, Collo na Avril wote kuonekana kwenye video ya ‘Kesho’ ya Diamond

Diamond 3 (600x497)

Kwa mujibu wa vyanzo vya nchini Kenya, ile video ya wimbo mpya wa Diamond aliyoenda kuifanyia jijini Nairobi, Kenya itakuwa na sura za mastaa watatu wakubwa wa nchini humo.

Kwa mujibu wa Avril ambaye ameigiza kama mpenzi wa Diamond kwenye video hiyo, wasanii wengine wakubwa wa Kenya ambao ni Collo na Mustapha wataonekana pia.

Amesema track hiyo ikitoka itafanya vizuri kutokana na kuwa na style ya kuchezeka zaidi kwenye club.

Video hiyo inatarajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi huu.

Wakati huo kupitia website yake, Diamond ameweka picha nyingine akiwa na Avril na kuandika, “Mapenzi ni raha na matamu sana pindi umpendae kwa dhati akikupenda kama ufanyavyo….ila dah! yanauma sana when you found out that, de wan you love is in love wit some one Else…….Chunga sana uskurupuke kuchagua, Utakujajuta.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents