Burudani

Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la nogewa ushinde la Diamond Karanga (+video)

Leo Agosti 14, 2018 Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ambaye pia ndiye mkurugenzi wa WCB amemkabidhi gari mshindi wa shindano la Nogewa Ushinde lililokuwa likifanyika kwa mwezi mmoja sasa kupitia bidhaa za Diamond Karanga.

Mshindi huyo aliyejitambulisha kwa majina ya Bakari Saidi akisimulia kwa furaha amesema kuwa yeye ni muuza mitumba Ubungo jijini Dar es salaam na ameahidi kuendelea kutumia bidhaa hizo huku akidai kwamba gari hilo limemkomboa kiuchumi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents