Muziki
Muziki: Joh Maker – Huu Mwaka
Msanii wa muziki Bongo, Joh Maker ameachia ngoma yake mpya ‘Huu Mwaka’, ngoma imefanyika Switch Record na producer ni S2kizzy. Isikilize hapa.