Muziki
Muziki: P The Mc – I Miss You
Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, P The Mc ameachia ngoma yake mpya ‘I Miss You’, ngoma imefanyika Bantu Music Studios na mixing kafanya Tunchy Master. Isikilize hapa.