Shinda na SIM Account

Muziki wa Singeli watua Rwanda, Tazama video ya msanii wao alivyotisha

Muziki wa Singeli haufanyi vizuri Bongo tu mpaka nje ya mipaka ya nchi yetu watu wanaukubali zaidi.

Msanii Muchoma kutoka nchini Rwanda amethibitisha hilo baada ya kuachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Haraka’ ambayo amemshirikisha Mr Kagame ikiwa na mahadhi ya muziki huo ambao umekuwa ukikubalika zaidi maeneo ya uswahilini.

Tazama video hiyo hapa chini.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW