Muziki

Muziki: Young Dee ft Dayna Nyange – Kiben 10

By  | 

Msanii wa muziki Bongo, Young Dee ameachia ngoma yake mpya ‘Kiben 10’ ambayo amemshirikisha Dayna Nyange, ngoma hii imekutanisha maprodyuza wawili, Mr. T Touch na Davy Machord. Isikilize hapa.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments