Mahojiano
Mvumbuzi wa alama 6 za barabarani kwa walemavu azungumza haya (+ Video)
Mvumbuzi wa alama 6 za barabarani kwa walemavu azungumza haya (+ Video)
Jutoni mkabatele mahala ambaye ni mvumbuzi wa alama 6 za barabarani kwa upande wa walemavu amezungumzia suala lake la kutokupata chochote licha ya kugundua alama 6 za barabarani, akiongea na Bongo5 mzee huyo ambaye ni mlemavu wa miguu amesema haya:-
By Ally Juma.