Michezo

Mwadui FC waonywa Simba hii ni hatari, mchambuzi Abbas Pira afunguka zaidi uwezo wa Mnyama (+Video)

Mchambuzi wa soka Tanzania, Abbas Pira amejaribu kuichambua Simba SC katika michezo yake miwili iliyopita ya ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC na ile ya Alliance FC namna walivyoweza kubadilika na kuwa bora tangu kutoka michuano ya Mapinduzi Cup. Pira amewataka Mwadui FC kupambana hasa ili kuwazuia Simba kutoondoka na ponti tatu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents