Aisee DSTV!
SwahiliFix

Mwakinyo afunguka kuhusu mabondia hawa ”Floyd Mayweather hapigani anacheza, mimi sio shabiki wa Joshua” (+video)

Bondia namba moja barani Afrika katika viwango vya ubora, uzito wa super welter raia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amesema kuwa havutiwi na namna mwanamasumbwi wa Uingereza Anthony Joshua huku akimgusia Floyd Mayweather wa Marekani kuwa siku hizi amekuwa si mpiganiji tena ulingoni bali anacheza tu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW