Michezo

Mwakinyo amshushia kipigo Mcongo, abeba mkanda wa ubingwa WBF (+Video)

Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo hapo jana usiku wamefanikiwa kubeba mkanda wa Ubingwa wa WBF Intercontinental Super Welter Champion baada ya kufanikiwa kumpiga mpinzani wake raia wa Congo Tshibangu mchezo wa raundi 12.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents